• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasisitiza umuhimu wa kulinda utandawazi wa kiuchumi na mfumo wa biashara ya pande nyingi

    (GMT+08:00) 2017-12-12 09:42:33

    Waziri wa biashara wa China Bw. Zhong Shan amesema China siku zote inaunga mkono utandawazi na mfumo wa biashara kati ya pande nyingi. Bw. Zhong amesema hayo kwenye mkutano wa 11 wa mawaziri wa Shirika la biashara duniani WTO uliofanyika Buenos Aires nchini Argentina. Amesema utandawazi ni mwelekeo usiogeuka wa kihistoria, na ni nguvu muhimu ya msukumo kwa ukuaji wa uchumi wa dunia. Amesema kanuni za WTO zinatoa ulinzi muhimu wa kitaasisi kwa utandawazi na kuhudumia maslahi ya pamoja ya nchi husika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako