• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tennis, Mwingereza Johanna Konta asema sasa ni wakati wake

    (GMT+08:00) 2017-12-13 10:38:17

    Mchezaji bora wa tennis kwa upande wa wanawake nchini Uingereza Johanna Konta amesema kocha aliyemwajiri sasa atamsaidia kutwaa mojawapo ya mataji manne makubwa ya Tennis duniani (yaani Grand Slams).

    Konta ameyasema hayo ikiwa ni wiki moja baada kuingia mkataba na kocha Michael Joyce raia wa marekani ambaye amewahi kumfundisha kwa mafanikio bingwa mara tano wa michuano hiyo mikubwa Maria Sharapova wa Urusi.

    Rekodi ya Mchezaji huyo katika michuano mikubwa ni kufika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya Wimbledon mwaka huu, na ameamua kuachana na mwalimu wake wa zamani Wim Fissette kwa kile alichodai kuwa ni matokeo mabaya aliyopata chini yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako