• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan ailaani Marekani kwa kutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israeli

    (GMT+08:00) 2017-12-18 14:18:03

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan Jumapili ameilaani Marekani kutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, na kusema mji huo ni wa kiislam wa Kiarabu.

    Rais huyo akihutubia mkutano uliofanyika mjini Al-Golid, amesisitiza kuwa vijana wa Sudan wamejiandaa kuilinda Jerusalem. Rais Donald Trump alitangaza kuutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel Desemba 6, akiagiza kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem, hatua ambayo imewakasirisha waislamu duniani, wanaouchukulia mji wa Jerusalem kama mji wa tatu mtakatifu kwa mujibu wa dini yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako