• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la usalama latoa mamlaka mpya kwa kitengo cha kupambana na ugaidi

    (GMT+08:00) 2017-12-22 09:02:41

    Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limetoa mamlaka mpya kwa Kurugenzi tendaji ya Kamati ya kupambana na ugaidi CTED kwa kipindi hadi Desemba 31 mwaka 2021. Baraza hilo limepitisha azimio likiamua kuwa kurugenzi hiyo itaendelea kufanya kazi kama tume maalumu ya kisiasa chini ya mwongozo wa sera wa Kamati ya kupambana na ugaidi kwenye kipindi hicho kipya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako