• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco kuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa mataifa kuhusu suala la uhamiaji

    (GMT+08:00) 2017-12-25 08:47:35

    Baraza kuu la Umoja wa mataifa limetangaza kuwa Morocco itakuwa mwenyeji wa mkutano wa umoja huo kuhusu uhamiaji wa kimataifa, unaofanyika mwaka kesho. Mkutano huo unatarajiwa kufikia makubaliano yanayohakikisha uhamiaji wa kimataifa unafanyika kwa usalama na utaratibu, ambayo yanalenga kulinda usalama, amani na heshima kwa haki za binadamu za wahamiaji na wakimbizi wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako