• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini yalaani azimio jipya la UN la kuiwekea vikwazo

    (GMT+08:00) 2017-12-25 08:48:13

    Korea Kaskazini imetoa taarifa ikilaani azimio jipya la Umoja wa mataifa kuhusu kuongeza vikwazo dhidi yake kutokana na mpango wake wa kuendeleza silaha za nyuklia na makombora, na kulitaja kama "kitendo cha vita". Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Korea Kaskazini ameishutumu Marekani kwa kuwa na "hamasa kubwa zaidi" katika kuiwekea vikwazo vikali zaidi kwenye historia. Taarifa iliyotolewa kupitia televisheni ya Korea Kaskazini imelaani azimio No. 2397 la Umoja wa mataifa lililopitishwa Ijumaa iliyopita kuzuia uuzaji wa mafuta kwa nchi hiyo, na kutaka raia wote wa nchi hiyo wanaofanya kazi nje ya nchi warudishwe nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako