• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtafiti wa Iran ahukumiwa kifo kwa makosa ya ujasusi kwa ajili ya Israel

    (GMT+08:00) 2017-12-26 09:10:13

    Mahakama kuu ya Iran imeidhinisha hukumu ya kifo dhidi ya mtafiti wa Iran aliyekutwa na hatia ya kufanya ujasusi kwa ajili ya Shirika la ujasusi la Israel Mossad. Mshtakiwa Ahmad Reza Jalali amekiri kuwa alikutana mara nane na mawakala wa Mossad na alipewa fedha na uraia wa Sweden kwa ajili yake na familia yake, baada ya kuwapatia taarifa muhimu kuhusu miradi inayohusiana na wizara ya ulinzi na Shirika la nishati ya atomiki ya Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako