• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Misri laua magaidi 12 katika mkoa wa Sinai

    (GMT+08:00) 2017-12-26 09:52:02

    Jeshi la Misri limetangaza kuwa askari wake wameanza operesheni za kupambana na ugaidi na kuwaua 12 katika eneo la katikati na kaskazini mwa peninsula ya Sinai.

    Msemaji wa jeshi hilo amesema gaidi mmoja alikamatwa wakati wa operesheni ya Sinai, ambako maficho manane yamegunduliwa.

    Operesheni hizo ni sehemu ya juhudi za majeshi ya Misri kwa lengo la kuondoa ugaidi. Aidha jeshi la Misri na polisi wamewaua mamia ya wapiganaji na kuwakamata watuhumiwa katika mapambana dhidi ya ugaidi nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako