• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China amtumia salamu za rambirambi mwenzake wa Philippines kutokana na maafa ya dhoruba

    (GMT+08:00) 2017-12-26 18:22:43

    Rais Xi Jinping wa China amempigia simu rais Rodrigo Duterte wa Philippines, na kutoa salamu za pole kwa vifo, mejeruhi na hasara ya mali zilizosababishwa na dhoruba ya Tembin, na kusema China iko tayari kutoa msaada wa uokoaji kama ikihitajika.

    Dhoruba ya Tembin ilikishambulia kisiwa cha Mindanao nchini Philippines, na kusababisha mafuriko ya ghafla na maporomoko ya udongo katika eneo hilo. Mpaka sasa idadi ya watu waliofariki kutokana na dhoruba hiyo imefikia 200, wengine 159 hawajulikani walipo, na watu zaidi 70,000 wamepoteza makazi yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako