Agizo hili ambalo liliytolwe na wizara ya uchimaji madini huenda ikaathiri shughuli za ujenzi kwa kuongeza bei ya bidhaa hii muhimu. Marufuku yalitolewa baada ya idadi ya wanaoangamia kwenye migodi ya changarawe ikiongezeka. Kwa sasa maafisa wa kusimamia mazingira na wale wa wizara ya uchimaji madini watazuru migondi yote nchini ili kutathmini usalama wake kwa wanaofanya kazi humo. Yeyote atakayepatrikana akichimba changarawe kweney mgodi usiokuwa na kibali kutoka kwa serikali, atachukuliwa hatua kali.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |