• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Putin awasilisha fomu za kugombea urais

    (GMT+08:00) 2017-12-28 09:17:20

    Rais Vladimir Putin wa Russia amewasilisha fomu za kugombea urais kwenye tume ya taifa ya uchaguzi ya Russia, na kuanza rasmi kampeni ya uchaguzi utakaofanyika mwakani. Mwanzoni mwa mwezi huu, rais Putin alitangaza kuwa atagombea muhula mpya wa urais kwenye uchaguzi ujao alipokutana na wafanyakazi wa kiwanda cha magari mjini Nizhny Novgorod.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako