• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 40 wauawa kwenye milipuko miwili mjini Kabul

  (GMT+08:00) 2017-12-28 19:25:41

  Watu wasiopungua 40 wameuawa wakiwemo washambuliaji wawili na wengine wengi kujeruhiwa kwenye milipuko miwili ya kujitoa mhanga dhidi ya jengo moja magharibi mwa Kabul, mji mkuu wa Afghanistan.

  Shambulizi hilo lilitokea saa 4 na dakika 30 mchana kwa saa za huko, wakati washambuliaji wawili walipolipua mabomu waliyovaa ndani ya jengo ambapo kuna ofisi za shirikisho moja la utamaduni na ofisi ya vyombo vya habari.

  Habari zinasema, idadi ya vifo huenda ikaongezeka kutokana na majeruhi wengi kuwa na hali mbaya.

  Mpaka sasa hakuna kundi lolote kutangaza kuwajibika na shambuliz hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako