• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misri yapitisha makubaliano 4 ya mafuta ili kuvutia uwekezaji wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2017-12-29 09:02:23

    Waziri wa mafuta wa Misri Bw. Tarek al-Mullah amesema Baraza la mawaziri la Misri limepitisha makubaliano manne ya ushirikiano wa mafuta na kuyawasilisha kwenye baraza la chini la bunge ili yaidhinishwe. Amesema makubaliano hayo yanalenga kuvutia uwekezaji mpya wa kimataifa kwenye sekta ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta na gesi nchini humo, na hatimaye kuongeza akiba ya gesi asili ya nchi hiyo. Bw. Mullah amesema makubaliano hayo yanatarajiwa kuidhinishwa na bunge katika miezi chache ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako