• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yalaani vikali shambulizi la kigaidi nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2017-12-29 18:32:41

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo hapa Beijing amesema, China inalaani vikali shambulizi la kigaidi lililotokea mjini Kabul, Afghanistan, na kwamba China itaunga mkono juhudi za serikali ya Afghanistan na wananchi wake katika kupambana na ugaidi, kulinda utulivu wa taifa na usalama wa watu wake.

    Shambulizi la kujitoa mhanga lilitokea jana mjini Kabul na kusababisha vifo vya watu 41 na wengine zaidi 80 kujeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako