• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idara ya usalama ya Russia yamkamata mtuhumiwa wa mlipuko wa St. Petersburg

    (GMT+08:00) 2017-12-31 18:00:12

    Mtuhumiwa wa mlipuko uliotokea katika duka kubwa mjini St. Petersburg, nchini Russia jumatano iliyopita alikamatwa na anahojiwa.

    Idara ya usalama ya Russia FSB imesema, imemtambua na kumkamata mpangaji na mtekelezaji wa mlipuko huo, na kumfikisha kwenye kamati ya upelelezi ya Russia kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameutambua mlipuko huo kuwa ni kitendo cha ugaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako