• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Kampuni za kamari ya michezo zalalamikia ushuru

    (GMT+08:00) 2018-01-01 19:32:38

    Kampuni mbili za kamari ya michezo nchini Uganda zimeihtaki serikali kwa kuongeza ushuru katika pamoja na kuongeza kiwango cha kuanzisha na uendeshaji wa biashara hiyo.

    Wamiliki wa kampuni hizo wanadai kwamba kiwango cha shilingi milioni 250 za kinachohitajika kuanzisha biashara hiyo ni kikubwa mno.

    Wamiliki hao sasa wamependekeza kupunguza ada ya kuanisha biashara hiyo ili kutoa ushindani sawa wa kibiashara baina ya wanaomiliki fedha nyingi na wenye fedha za wastani katika soko.

    Kamari ya michezo imepata umaarufu mkubwa sana Afrika mashariki baada ya mashabiki wengi haswa wa soka kusajiliwa na kushiriki wakitarajia kupata utajiri wa haraka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako