• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Syria afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri

    (GMT+08:00) 2018-01-02 08:48:23

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ameamua kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri na kuwabadilisha mawaziri wa ulinzi, habari na viwanda. Rais Assad amemteua mnadhimu mkuu wa jeshi Jenerali Ali Abdullah Ayyoub kuwa waziri mpya wa ulinzi, mkurugenzi wa televisheni ya taifa Emad Sara kuwa waziri mpya wa habari, na Bw. Muhammad Mazen Ali Youssef ameteuliwa kuwa waziri mpya wa viwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako