• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Rwanda, Ligi Kuu yasimamishwa kupisha timu ya taifa.

    (GMT+08:00) 2018-01-02 10:26:55

    Mechi za ligi kuu ya soka nchini Rwanda zimeahirisha kwa zaidi ya mwezi mmoja ili kuipisha timu ya taifa inayojiandaa kwenda kushiriki mashindano ya Afrika ya soka kwa wachezaji wa ndani (CHAN) baadaye mwezi huu nchini Morocco.

    Ligi hiyo inatarajiwa kurejea rasmi Februari 6 na 7 kwa michezo ya raundi ya 11 kwa kuwa tayari raundi kumi za msimu huu zimekwishachezwa na kwa mujibu shirikisho la soka la Rwanda FERWAFA ratiba itafanyiwa mabadiliko ili kukidhi azma hiyo..

    Michuano ya CHAN inatarajiwa kuanza rasmi January 13 hadi Februari 4, tayari timu ya Rwanda imekwenda Tunisia kwa ajili ya kambi ya kujiandaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako