• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahakama ya Zimbabwe yamwachia huru raia wa Marekani aliyeshtakiwa kwa kumdhalilisha Mugabe

    (GMT+08:00) 2018-01-05 08:40:07

    Mahakama moja nchini Zimbabwe imemwachia huru Martha O'Donovan, raia wa Marekani aliyekamatwa mwezi Novemba mwaka jana na kushitakiwa kwa kumdhalilisha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Bw. Robert Mugabe kwenye ukurasa wake wa Twitter. Martha O'Donovan alikuwa mtu wa kwanza kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya udhalilishaji kupitia mitandao ya kijamii, tangu serikali ya Zimbabwe ianzishe wizara ya usalama wa mtandao, ugunduzi na upunguzaji wa matishio mwezi Oktoba mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako