• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watakiwa kufanikisha uchapaji chapa ng'ombe

    (GMT+08:00) 2018-01-05 08:57:43
    Serikali wilayani Kaliua Mkoani Tabora nchini Tanzania imewataka maofisa maliasili na askari wa wanyamapori kuacha kwa muda kukamata mifugo katika kipindi hiki cha kupiga chapa mifugo yote iliyoko wilayani humo. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Abel Busalama alipokuwa akizindua upigaji chapa mifugo uliofanyika mpakani mwa vijiji vya Uyumbu na Usimba katika kitongoji cha Sheta kata ya Zugimlole wilayani humo hivi karibuni.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako