• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Mapinduzi, Mechi mbili kupigwa leo uwanja wa Amaan

    (GMT+08:00) 2018-01-08 09:33:45

    YANGA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Zimamoto 1-0 kwenye mchezo wa Kundi B jana usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

    Bao pekee la Yanga leo lilifungwa na Emmanuel Martin dakika ya 60 na kuifanya timu hiyo ifikishe pointi 12 baada ya kushinda mechi nne, sasa ikilingana na Singida United ambayo yenyewe iko juu kwa wastani wa magoli.

    Yanga inashuka tena dimbani usiku wa leo kucheza na Singida United majira ya saa 2:15, mechi ambayo itaamua kinara wa kundi, mechi itatangauliwa na mechi moja ya kundi A baina ya Simba na URA ya Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako