• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia na UAE zakubali kuharakisha kusainiwa kwa makubaliano ya leba

    (GMT+08:00) 2018-01-10 08:50:43

    Ethiopia na Umoja wa falme za kiarabu zimekubali kuharakisha mchakato wa kusaini makubaliano ya leba kati ya pande hizo mbili. Taarifa iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia inasema waziri wa mambo ya nje wa Ethiopia Bw. Workneh Gebeyehu na waziri wa raslimali watu wa Umoja wa falme za kiarabu Bw. Nasser Bin Thani Al Hamel, wamesisitiza haja ya kuharakisha mchakato wa kusaini makubaliano ya yaliyojadiliwa na pande hizo mbili kwa miaka miwili, ambayo yametajwa kuwa yataweka mfumo wa kisheria wa kulinda usalama wa wafanyakazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako