• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya kutoa mpango wa mawasiliano kati ya Ulaya na Asia

    (GMT+08:00) 2018-01-10 19:34:17

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini China Bw. Hans-Dietmar Schweisgut leo amesema, katika mwaka mpya, Ulaya inatarajia kuzidisha ushirikiano wa mawasiliano na China.

    Amesema Umoja wa Ulaya unatunga mpango wake wa mawasiliano kati ya bara la Ulaya na Asia, na kuunganisha pendekezo la China la "Ukanda mmoja na Njia moja". Pia Bw. Schweisgut amesema, Umoja wa Ulaya unaunga mkono pendekezo hilo, na unatumai kushirikiana na China kuhimiza ongezeko na ustawi wa bara la Ulaya na Asia. Ameongeza kuwa, umoja huo utakuwa na mfumo mzuri na kushirikiana na China na wenzi wengine wa Ulaya na Asia, na kuunganisha pendekezo la "Ukanda mmoja na Njia moja".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako