• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu watatu wauawa katika shambulizi linalokisiwa kufanywa na kundi la Boko Haram nchini Cameroon

  (GMT+08:00) 2018-01-11 19:11:50

  Watu watatu wameuawa katika shambulizi lililofanywa mkoa wa Far North nchini Cameroon, huku kundi la Boko Haram likishukiwa kuhusika na shambulizi hilo.

  Shambulizi hilo limetokea kata ya Kolofata kaskazini mwa nchi hiyo, ikiwa ni mpakani na kambi ya kundi hilo nchini Nigeria. Shambulizi hilo linahisiwa kuhusika na juhudi za kundi la Boko Haram kuiba chakula kutoka kwa wakazi wa eneo hilo kutokana na taarifa kuwa akiba yao ya chakula inakaribia kumalizika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako