• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Timu ya Bugesera yamwajiri Hitimana kuwa kocha mkuu

  (GMT+08:00) 2018-01-12 10:20:08

  Kocha wa zamani wa Rayon Sports Henry Hitimana ametangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya soka ya Bugesera kwa mkataba wa miezi sita unaomalizika mwishoni mwa msimu huu.

  Hitimana anachukua nafasi iliyokuwa wazi kwa muda wa miezi miwili baada ya klabu hiyo kumtimua Ali Bizimungu.

  Klabu hiyo yenye makazi yake Nyamata, iko katika nafasi ya 12 kwenye msimamo ikiwa na pointi 10 ambazo ni mbili tu zaidi ya timu ya mwisho kwenye msimamo.

  Hitimana pia aliwahi kufindisha timu ya taifa ya vijana chini ya umri 23 kuanzia mwaka 2012 hadi 2015, na wakati huo huo alikuwa ni kocha msaidizi wa Rayon Sport tangu mwaka 2003 hadi 2015.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako