• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Libya mashariki mwa nchi laishutumu Uturuki kufadhili ugaidi nchini Libya

    (GMT+08:00) 2018-01-15 08:57:17

    Msemaji wa jeshi la Libya mashariki mwa nchi Bw. Ahmad Al-Msimari ameilaani Uturuki kuwa mfadhili wa ugaidi nchini Libya, hata kabla ya vita dhidi ya ugaidi kuanza zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Amesema hayo baada ya meli moja yenye bendera ya Tanzania iliyobeba baruti kutoka Uturuki kukamatwa na Ugiriki siku chache zilizopita ikiwa njiani kuelekea Libya. Msemaji huyo amesema Libya itachukua hatua kuiadhibu Uturuki na makampuni yake, na mikataba yake yote nchini Libya imebatilishwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako