• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Magufuli asisitiza kuongezeka kwa biashara nchini humu

    (GMT+08:00) 2018-01-15 20:18:40

    Rais John Pombe Magufuli jana alisisitiza Watanzania na Wanyarwanda kutambua fursa za uwekezaji ambazo zitasaidia biashara kati ya nchi hizo mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kama njia ya kuongeza biashara ya nchi kwa ujumla, na uchumi wao hasa.

    Dk Magufuli alikuwa akiwaambia waandishi wa habari katika ikulu baada ya kuzungumza na Rais wa Rwanda Paul Kagame huko Dar es Salaam.

    Katika tukio hilo, alinukuu takwimu kuonyesha kuwa biashara ya kila mwaka kati yao ilishuka karibu nusu, kutoka Sh bilioni 106.54 mwaka 2011 hadi Sh bilioni 64 mwaka 2014.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako