• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha, Rwanda: Mkimbiaji namba moja upande wa wanawake aanza kujiandaa na mashindano ya Australia.

    (GMT+08:00) 2018-01-16 10:19:31
    Baada ya kushinda medali ya fedha katika mashindano ya kimataifa yaliyofanyika nchini Ujerumani, mwanariadha Salome Nyirarukundo ameanza kujiandaa na mashindano ya kimataifa ya jumuiya ya madola yatakayofanyika nchini Australia kuanzia April 4 mwaka huu.

    Mwanadada Nyirarukundo Mwenye miaka 20 pia anatarajiwa kusafiri kwenda nchini Kenya tarehe 20 mwezi huu kwa ajili ya kambi ya juu ya maandalizi.

    Nyirarukundo ambaye ni kutoka timu ya riadha ya APR aliandika rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza nchini Rwanda kushinda mbio za nusu marathon za Kigali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako