• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Foton ya china kurejea kwenye soko la Afrika mashariki

    (GMT+08:00) 2018-01-16 20:50:16

    Kampuni ya kutengeneza magari ya China Beiqi Foton inarejea tena kwenye soko la Afrika mashariki baada ya kukosa kufanikiwa kwenye mpano wake wa kwanza wa kuuuza magari kwenye kanda hiyo.

    Foton inatarajiwa kuzindia magari aina mbili Sauvana ambayo ni SUV na Auman GTL ambayo ni aina ya pick up.

    Bado haijafahamika kama Foton itauza moja kwa moja magari yake au itauza kupitia kwa wakala. .

    Foton ilifunga duka lake nchini Kenya mwaka jana baada ya kukosa kufanikiwa sokoni ambako kuna washindani wengine wa China, Chery, JMC, Sinotruck na Grand Tiger ambayo yanauza kwa bei nafuu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako