• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wahimiza utandawazi kuzinufaisha nchi zote

    (GMT+08:00) 2018-01-17 09:24:27

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres jana ameihimiza jumuiya ya kimataifa kuweka "mpango mpya" wa mafungamano ya dunia ambao ni haki kwa nchi zote.

    Bw. Gueterres ameeleza matumaini yake kuwa ni kujenga jamii yenye ustawi na amani kwa watu wote duniani.

    Pia amesisitiza umuhimu wa kuchangisha fedha kwa ajili ya maendeleo, na kuzitaka nchi mbalimbali kutimiza ahadi zao za kifedha, pia ameomba jitihada za kukabiliana na kukwepa kodi, na mzunguko usio halali wa fedha, ili kuziwezesha nchi zinazoendelea kutumia vizuri zaidi raslimali zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako