• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kriketi, Matokeo ya Kenya kwenye kombe la dunia la vijana

    (GMT+08:00) 2018-01-18 08:14:57
    Timu ya taifa ya Kenya jana imeshindwa kuwatambia wenyeji New Zealand ilipofungwa kwa mikimbio 243 mjini Christchurch katika mechi ya kundi A la mashindano ya kombe la dunia kwa vijana chini ya umri wa miaka 19.

    Kenya walifanikiwa kuumiliki mchezo huo baada ya nyota wake waliojikusanyia alama za umahiri kwenye mechi hiyo T. Ochieng na R Ghandi ambao kwa pamoja walipata mikimbio 102, na kusiadia timu yao kufikisha 193 ambayo hata hivyo ilikuwa pungufu kwa New Zealand.

    Katika mechi nyingine ya kundi A iliyopigwa leo, Afrika Kusini imefanikiwa kuwafunga mabingwa watetezi wa michuano hiyo, timu ya taifa ya West Indies kwa mikimbio 76, katika mechi ambayo iligubikwa na utata mwingi.

    Katika mechi a mwisho za hatua ya makundi, ijumaa ijayo Kenya watacheza dhidi ya West Indies wakiwa bado wanahitaji matokeo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako