• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji wanane wa kundi la Taliban wauawa kaskazini mwa Afghanistan

    (GMT+08:00) 2018-01-18 19:35:36

    Wapiganaji wanane wa kundi la Taliban wameuawa na wengine sita kujeruhiwa katika mfululizo wa operesehni zilizofanywa na jeshi la Afghanistan katika mkoa wa Kunduz ulioko kaskazini mwa nchi hiyo.

    Msemaji wa kikosi cha Pamir 20 katika mkoa huo Ghulam Hazrat Karimi amesema, operesheni hiyo ilifanyika katika kijiji cha Nahr-e-Sufi katika wilaya ya Chardara usiku wa jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako