• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi, Uganda yaweka mikakati kukuza vipaji

    (GMT+08:00) 2018-01-19 09:03:52
    Shirikisho la masumbwi nchini Uganda (UBF) limewataka makocha na waamuzi wa kujitahidi kuwafundisha wachezaji chipukizi kwa ajili ya manufaa ya baadaye.

    Akizungumza wakati wa kutoa vyeti kwa madaktari, waamuzi na makocha wa mchezo wa masumbwi waliohitimu kwa mafanikio mafunzo yaliyoandaliwa na umoja wa vyama vya masumbwi duniani, AIBA, Rais wa UBF Kenneth Gimugu alisema wakati umefika wa kurudisha hadhi ya Uganda kwenye masumbwi duniani.

    Jumla ya wanamichezo 25 walipokea vyeti hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako