• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nadal afuzu hatua robo fainali.

    (GMT+08:00) 2018-01-22 09:35:35
    Rafael Nadal amesogea hadi katika robo fainali za mashindano ya Australian Open kwa kumfunga MuArgentina Diego Schwartzman kwa seti nne kwa moja yenye alama 6-3 6-7 (4-7) 6-3 6-3.

    Schwartzman, alidhihirisha kuwa mpinzani hodari wa Nadal alipomlazimisha kucheza kwa saa 3 na dakika 51, kwa kufanikiwa kushinda seti ya kwanza ya mashindano hayo dhidi ya bingwa huyo mara 16 wa mshindano ya Grand Slam.

    Kufuatia ushindi huo, Nadal sasa atakutana na Marin Cilic wa Croatia katika hatua ya robo fainali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako