• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan: maandamano dhidi ya bei kuongezeka maradufu.

    (GMT+08:00) 2018-01-22 19:31:44
    Maandamano dhidi ya kuongezwa Kwa bei ya chakula nchini Sudan inaendelea kushuhudiwa siku ya nne mfululizo.

    Mapema Januari, masoko ya Sudan wa yalikumbwa na mzozo wa kifedha.

    Serikali ya sudan iliongeza kodi ya bidhaa nakodi za wafanyibishara na wananchi.

    Bei ya bidhaa muhimu bei yake iliongezeka maradufu, kutokana na serikali kupunguza fedha yake ya msaada ya ngano.

    Bei ya ngano iliongezeka kwa asilimia 233.

    Bajeti ya 2018 imeshutumiwa kwa tenga fedha nyingi kwa matumizi ya usalama, ulinzi, na matumizi ya urais.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako