• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani haitafanikiwa kuilazimisha Russia ibadili sera ya diplomasia kwa kuiwekea vikwazo

  (GMT+08:00) 2018-01-22 19:40:18

  Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergei Lavrov amesema Marekani haitafanikiwa kuilazimisha Russia ibadilishe sera ya diplomasia kwa kuiwekea vikwazo.

  Bw. Lavrov amesema hayo alipohojiwa na gazeti la Kommersant la Russia. Amesema sera ya diplomasia ya Russia inaungwa mkono na watu wengi nchini humo, na Marekani haitafanikiwa kwa kujaribu kuwawekea vikwazo watu mashuhuri na wafanyabiashara wa Russia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako