• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya viongozi 40 wa Afrika na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhudhuria mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika

    (GMT+08:00) 2018-01-24 19:39:13

    Wakuu wa nchi zaidi ya 40 za Afrika na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres watahudhuria mkutano wa 30 wa kilele wa Umoja wa Afrika utakaofanyika Addis Ababa, Ethiopia.

    Hayo yamesemwa na waziri wa mambo ya nje wa Ethiopia Workneh Gebeyehu alipokuwa akiongea na waandishi wa habari. Amesema viongozi hao wanatarajiwa kujadili masuala ya kisiasa na usalama yanayoathiri nchi za Afrika, na mageuzi ya umoja huo.

    Umoja wa Afrika umetangaza mwaka huu kuwa mwaka wa kupambana na ufisadi barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako