• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Museveni afurahishwa na ujenzi wa eneo jipya la meli bandarini Mombasa

    (GMT+08:00) 2018-01-26 18:24:39

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameeleza kufurahishwa kwake na ujenzi wa eneo jipya la meli kutia nanga katika bandari ya Mombasana kusema utasaidia kuimarisha biashara katika ukanda wa Afrika mashariki. Museveni amesema ujenzi huo pamoja na ukarabati wa miundomsingi mingine kama vile ujenzi wa reli ya kisasa almaarufu kama SGR na upanuzi wa barabara zitapunguza gharama ya kuendesha barabara. Ametoa wito kwa mataifa ya jumuiya ya Afrika mashariki kuhimiza utengenezaji wa bidhaa zao wenyewe na kukoma kutegemea bidhaa kutoka nje.Hata hicyo aliongeza kuwa mafanikio katika ukanda huo yatategemea umoja na uwiano wa raia wa nchi zote zilizopo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako