• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: serikali kufadhili sekta muhimu

    (GMT+08:00) 2018-01-29 19:47:59

    Waziri wa fedha Henry Rotich anasema Serikali itapunguza matumizi kwa shughuli zisizo za msingi kufadhili maeneo muhimu ya kipaumbele.

    Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa bajeti ya muda mrefu ya 2018/2019 katika jengo la KICC, amesema ufadhili wa fedha katika maeneo muhimu kama huduma ya afya ya kila siku, usalama wa chakula, nyumba, elimu, nishati na ulinzi wa kijamii utawekwa kipaumbele.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako