• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa EU aeleza matumaini yake juu ya mageuzi ya China

    (GMT+08:00) 2018-02-01 10:01:49

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini China Bw. Hans Dietmar Schweisgut amesema ana matarajio na mustakabali wa mageuzi na ufunguaji mlango wa China.

    Bw. Schweisgut amesema uchumi wa China umekuwa ukibadilishwa kwa kutegemea zaidi matumizi na uvumbuzi, ambayo ni hatua yenye utatanishi na inaleta changamoto kwa mageuzi katika siku za baadaye.

    Hata hivyo, Bw. Schweisgut amesema ana imani kubwa kwa kuwa mfano huo wa kichina umethibitishwa kuwa na unyumbufu katika kukabiliana na hali hiyo, na anatumai kuwa unyumbufu huo utaendelea katika siku zijazo.

    Pia ameeleza matumaini yake kwamba China na Umoja wa Ulaya zitajenga uhusiano wa kiuchumi wenye haki, usawa na uwiano katika siku za usoni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako