• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na waziri mkuu wa Uingereza

    (GMT+08:00) 2018-02-01 20:28:21

    Rais Xi Jinping wa China amekutana na waziri mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May ambaye yuko ziarani hapa China. Rais Xi amezitaka nchi hizo mbili kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya maendeleo ya utulivu ya uhusiano wa pande mbili katika zama mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako