• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gofu, Kenya: Wachezaji waendelea kushindania nafasi ya ubingwa mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-02-02 10:19:55

    Mchezaji Dismas Indiza kutoka Mumias, amefanikiwa kufuzu kwa alama nzuri kwenda hatua inayofuata ya mashindano ya Tennis ya Kenya na mefanikiwa kushinda wenzake jana katika viwanja vya klabu ya Sigona.

    Dismas aliwashinda wenzake kwa kupata jumla kuu ya 278 akifuatiwa na Kopan Timbe aliyepata 282, na wachezaji hao wa kulipwa pamoja na wenzao watakutana tena Februari 12 kutokana na kanuni za msimu wa mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako