• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tennis, Woznizcki aendeleza wimbi la ushindi kimataifa

    (GMT+08:00) 2018-02-02 10:19:55

    Bingwa wa mashindano ya Australia kwa upande wanawake, Caroline Wozniacki wa Denmark ameendeleza wimbi la Ushindi katika tennis, baada ya kumfunga Anastasta Potapova wa Urusi katika mechi ya raundi ya kwanza ya mashindano ya St. Petersburg.

    Potapova ambaye ni bingwa wa mwaka 2016 katika mashindano ya vijana ya Wimbledon, hakuweza kumzuia Carol kumfunga kwa seti ya 2-0 yenye alama 6-3 6-1.

    Kwa ushindi huo, Wozniacki atakutana na mrusi mwingine Daria Kasatkina katika raundi ya pili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako