• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, West Ham yamsimamisha kazi Mkurugenzi wa Usajili kufuatia kauli ya kibaguzi

    (GMT+08:00) 2018-02-02 10:19:55

    West Ham imemsimamisha kazi mkurugenzi wa usajili wa wachezaji Tony Henry kuhusu madai kwamba klabu hiyo haitawasajili teza wachezaji zaidi wa Afrika.

    Henry anadaiwa kutoa kauli kuwa kuwa wachezaji wa Afrika huzua fujo wasiposhirikishwa katika mechi.

    Katika taarifa yake, West Ham imesema kuwa haitavumilia ubaguzi wa aina yoyote ule na hivyobasi imemchukulia hatua mkurugenzi huyo kutokana na hatari ya madai yake.

    Chama cha soka nchini Uingereza FA kimesema kuwa kitachunguza rasmi suala hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako