• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yarusha satelaiti ya kwanza ya kuchangia ya elimu

    (GMT+08:00) 2018-02-02 19:10:00

    Satelaiti ya kwanza ya kuchangia elimu ya China, Young Pioneer 1, imerushwa leo mchana kwenye anga za juu kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan.

    Mwanzilishi na mkurugenzi wa kampuni ya Commsat iliitengeneza na kuifanyia majaribio satelaiti hiyo Bw. Xie Tao amesema, satelaiti hiyo itafanya uhifadhi usiotumia waya na kusafirisha mawimbi ya radio kwa masafa ya UV, picha za anga ya juu na kuthibitisha mtumiaji kwenye Internet ya Vitu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako