• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda itaandika wataalamu kutoka nje kwa kazi ya mafuta

    (GMT+08:00) 2018-02-05 19:14:35

    Uganda itaanza kuwekeza katika miundombinu ya mafuta na gesi mbele ya maandalizi ya uzalishaji mwaka 2020 lakini kuna dalili kwamba kazi nyingi itafanywa wataalamu kutoka nchi za nje.

    Hii inatokana na Taasisi ya Petroli ya Uganda, mojawapo ya taasisi zilizopewa mamlaka ya kuwapa ujuzi wakazi ambao wanataka kufanya kazi katika sekta hiyo. Hadi Kufikia sasa taasisi hiyo imefundisha na kuhitimu waganda 133 na diploma na vyeti.

    Shughuli za mafuta na gesi zinatarajiwa kujenga angalau nafasi elfu 167,000 za kazi katika kilele cha maendeleo kulingana na Waziri wa Nishati, Irene Muloni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako