• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: serikali ya pambana na uagizaji wa nguo za mtumba

    (GMT+08:00) 2018-02-05 19:16:16

    Nguo zilizotumika maarufu kama mtumba na bidhaa za ngozi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda zinazidi kuingia nchini Rwanda kwa njia ya magendo baada ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kupandisha kodi kwa bidhaa ili kulinda sekta ya ndani ya kuzalisha bidhaa hizo.

    Wachambuzi wameonya kuwa kama biashara haramu itaendelea, uchumi wa muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utaathirika, na sera za kikanda za kukuza bidhaa za ndani zitaanguka.

    Kamishna wa Mamlaka ya Mapato ya Rwanda (RRA) imesema imeshika tani 230 za nguo na tani 27 za viatu tangu Julai hadi Desemba 2017.

    Viatu za ngozi za mtumba na nguo ziko na mahitaji makubwa Mugambe amesema.

    Tanzania, Burundi, Kenya na Rwanda zilikubaliana mwaka 2016 kupiga marufuku uagizaji wa nguo za mtumba na viatu za ngozi za mtumba na kuzuia matumizi ya magari ya zamani katika kanda mwaka 2018, ili kukukza programu zao za viwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako