• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya ligi kuu ya Uingereza: Chelsea yafungwa, kocha Conte huenda akakutana na vikwazo

    (GMT+08:00) 2018-02-06 09:08:29

    Wadadisi wa masuala ya soka wamesema, huenda kocha mkuu wa Chelsea Antonio Conte akaanza kuwekewa vikwazo kutokana na kipigo cha magoli 4-1 ilichokipata timu yake ilipocheza dhidi ya Watford jana usiku.

    Chelsea ambayo haijakuwa na mwenendo mzuri katika kipindi hiki, licha ya kutangulia kupata goli ilijikuta ikisawazishiwa na kasha kufungwa karamu hiyo ya magoli na inaandika historia ya mpya baada ya miaka 22 kuwahi kufanywa hivyo, ya kufungwa magoli mengi katika mechi mbili (7), ikiwa imepoteza katika mechi iliyopita pia kwa magoli 3-0 ilipocheza dhidi AFC Bournemouth.

    Kutokana na hilo, sasa huenda mmiliki wa klabu hiyo Romano Abramovich akakosa uvumilivu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako