• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thamani ya uagizaji na uuzaji bidhaa kwa nchi za nje yaa China ya Januari yaongezeka kwa asilimia 16

    (GMT+08:00) 2018-02-08 18:47:32

    Idara kuu ya forodha ya China imetoa takwimu kuwa, thamani ya uagizaji na uuzaji bidhaa kwa nchi za nje ya China imefikia zaidi renminbi trilioni 2.5, sawa na dola za kimarekani bilioni 390,ambalo ni ongezeko la asilimia 16 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huo, na thamani ya uagizaji bidhaa kutoka nje ni renminbi trilioni 1.2 ambayoikiongezeka kwa asilimia 30 na thamani ya uuzaji bidhaa kwa nchi za nje ni renminbi trilioni 1.3.

    Kiasi cha biashara ya kawaida na nchi za nje kimeongezeka, na biashara na Ulaya, Marekani, Japan na Umoja wa nchi za Asia ya Kusini na Mashariki kimeongezeka, biashara na nchi za "Ukanda moja na Njia moja" kimeiongezeka kwa kasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako