• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makabila hasimu ya kaskazini mashariki ya DRC yashauriwa kuwa wamoja badala ya chuki na mizozo ili mauaji zaidi yasitokee

    (GMT+08:00) 2018-02-09 19:27:42

    Kutokana na mauwaji ya zaidi ya watu 30 yaliyoshuhudiwa huko ITURI kaskazini mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo mwishoni mwa wiki;na kusababisha maandamano makali yaliyopelekea vifo vya ziada kwa raia mpema wiki hii;Gavana wa mkoa Bwana Bwana PENENGAPA ABDALAH JEFERSON ,katoa mwito kwa makabila yote hasimu;kuwa na umoja badala ya chuki na mzozo wa kikabila.

    Mwandishi wetu DIDE MMOLELWA kutoka Beni;anatuandalia ripoti ifuatayo.

    Licha ya juudi zinzzo endeshwa na wakuu viongozi wa serkali kuhakikisha kwamba amani na usalama vinashuhudiwa kwenye adhi mzima ya nchi;kulitokea mauwaji iliyo na sura ya mzozo wa kikabila mkoani ITURI;Hali iliyotokea kwenye eneo la wilaya ya DJUGU mwishoni mwa wiki;na fasi ambako apatao raia 34 waliuwawa sehemu za BLUKWA na kandokando;kumi na mbili walijeruhiwa na kulazwa kwenye hospitali kuu ya DRODRO;ngombe kuteketezwa;na maelefu ya wananchi kuyahama makadhi kwa ajili ya kunusurisha maisha yao.;huku kabila la WAHEMA likiwatuhumu kabila la WALENDO kuwatendea uwalifu huo;lakini bila ya kutoa sababu na chanzo cha mambo hayo kutokea.Hata hivyo;

    Kupitia kitangazo kilicho sahiniwa na kiongozi wa jamii ya kabila la Wahema Bwana HADJI IBRAHIM RUHIGWA BAMARAKI na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii;kupinga mauwaji ya watu;kuuwawa kwa nyama za ufugo;na kuchomwa kwa takriban nyumba kati ya 1000 na 2000,bila ya kusahahu kuzusha wimbi kubwa la wakimbizi kuyahama makadhi yao;ilitolewa mwito wa wakaaji wote wenye asili ya kabila lao;kufanya siku mbili bila shughuli zozote,kuanzia jumatatu na jumanne wiki hii;lakini siku ya kwanza ya mgomo;kukashuhudiwa maandamano makali yaliyo pelekea Gavana wa mkoa kurushiwa mawe.

    Mkaaji wa mji wa Bunia kwa jina la JULBA,aliyefatilia hali kwa karibu,ametupa mazingira ya siku hiyo.

    INSERT: Ilikuwa juma tatu jana asubuhi wakati gavana wa mkoa wa Ituri alipemdelea kuenda kutuliza hasira ya waandamanaji kwenye daraja Mutsanga;huko vijana hawakutaka kumuona wakamurushia mawe,na akapata jiwe kwenye uso wake...

    Baada ya tukio hilo;akiojiwa na vyombo vya habari kuhusu hali inayoendelea na mwelekeo wa mkoa wake munamo siku za usoni;Gavana PENENGAPA ABDALAH JEFERSON akiwa mwenye huzuni mkubwa;ameonyesha masikitiko makubwa kwa yote yaliyotokea;huku akiomba umoja wa wananchi;kwa kuwa mauwaji ni adui ya maendeleo;kama alivyosimulia hapa.

    INSERT:Kama unavyo niona hapa;moyo wangu una masikitiko makubwa kutokana nay ale yanaoyo fanyika wilayani DHUGU;watu kuuwawa;miji kuchomwa;kuuwawa kwa nyama za ufugo;raia kukimbia;

    Tafadhali nawaomba ndugu zangu munao nisikiliza;tuachane na mambo ya kuuwana sawa nyama.Tuoneane huruma;watu wengi wana lala kiolela.Kuuwana siyo jambo mzuri;hali hiyo inaniletea huzuni kubwa...

    Ni vema kukumbusha hapa ya kwamba;kabila la waHEMA na lile wa LENDU ;mkiwemo makabila mengine mfano wa Wagegere;wangiti na Wabira,kama vile walulu na wengine;yote ni makabila yanayoishi mkoani Ituri;na kwa mda wa myaka kadhaa;waliishi kwa pamoja kwa usalama;licha ya chuki zilizowekwa na upande mmoja au mwingine kwa maslahi ya ki binafsi;haswa ikifahamika kwamba;walendu ni wakulima;na wahema wakijulikana kama wafugaji.Lakini ulipo fika mwaka wa elfu mbili,kuanzia 1999;kulizuka mauwaji ya kikatili,iliyopoteza watu wengi;na kupelekea miji kadhaa kutoweka hadi leo.

    Kwa kuwa chanzo cha mzozo wa leo bado kutangazwa rathmi;chuki ya hawali;ilisababishwa na nini?

    Kwa mara ingine tena Mkaaji huyu wa Bunia;alikuwa na haya ya kufasiria. `

    INSERT: Chuki inatokana na mzozo wa udongona madaraka;wamoja ambao ni wa LENDU ndiyo waliyo wenye udongo;huku wa HEMA ambao ndiyo wafugaji;wakipenda kuwa miliki wenyeji udongo...

    Nikiripoti kutoka Beni mimi ni MSEKE DIDE wa CRI

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako